Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.

DODOSO LA WATEMBELEAJI

WATEMBELEAJI.PNG

 

 

MUHIMU: Taarifa hizi zitatumika kwa tathmini ya Maonesho na si vinginevyo.

Kauli mbiu: Madini na fursa za uchumi; ajira kwa maendeleo endelevu

There are 15 questions in this survey.
TAARIFA MUHIMU ZA MAONESHO
(This question is mandatory)
1

Tafadhali jaza taarifa hizi muhimu

2

Jinsia

3

Umri

4

Kiwango cha elimu

5

Hali ya ajira

6

Uliyajuaje Maonesho haya ya tano (5) ya madini na teknolojia ya uchimbaji madini?

7

Tafadhali taja lengo / malengo ya kutembelea maonyesho haya?

8

Elezea yaliyokufurahisha katika Maonesho haya 

9

Umepata faida gani baada ya kutembelea haya maonesho

10

Thaminisha huduma zitolewazo katika maonesho haya (kwa kuzingatia utaratibu huu: 1 = Duni Sana, 2 = Duni, 3 = Kawaida, 4 = Vizuri na 5= Vizuri Sana

Chakula na vinywaji
Huduma za kifedha
Mikutano ya biashara
Huduma za usafiri k.m maegesho
Huduma kwa wateja
Waoneshaji wa bidhaa/huduma
Mawasiliano k.m. mtandao, simu
Huduma za ulinzi na usalama
Huduma za afya
11

Kwa siku ya leo, Umetumia shilingi ngapi za kitanzania katika haya maonesho?

12

Upo tayari kulipia kiasi gani cha gharama za kiingilio katika maonesho haya?

13

Katika kipimo cha 1 hadi 10, tafadhali thaminisha maonesho kwa kulingana na matarajio yako ( Kwakuzingatia 1= Duni sana na 10 = Vizuri sana) 

Maonesho ya Tano (5) ya madini na teknolojia ya uchimbaji wa madini Geita
14

Taja changamoto ulizokumbana nazo katika Maonesho haya ya madini na teknolojia ya uchimbaji madini

15

Nini ushauri wako wa kuzingatiwa ili kutatua changamoto tajwa hapo juu?