Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.

DODOSO KUHUSU WIKI YA UNUNUZI WA UMMA

 

Ndugu Mshiriki wa Kongamano la Wiki ya Ununuzi wa Umma unaombwa kuchukua muda wako kutoa maoni yako juu ya Kongamano hili. 

There are 13 questions in this survey.
1

Jina lako: (Sio lazima) 

2

Jinsia:

3

Taaluma yako: 

4

Elimu yako

5

Nafasi yako Katika Ununuzi wa Umma:

6

Kwa namna gani Wiki ya Ununuzi wa Umma italeta tija kwa Taifa katika kuimarisha mfumo wa Ununuzi nchini?

7

Mada zilizowasilishwa katika Kongamano zina uhalisia kwenye utendaji kazi wa kila siku katika ununuzi wa umma. Tafadhali panga mada zilizowasilishwa kwa umuhimu (mfano 1. Mada ya tatu, 2. Mada ya pili etc)

8

Mada ulizoona zina umuhimu kidogo

9

Je, mifumo ya kielektroniki inapunguza ubadhilifu na rushwa katika Ununuzi wa Umma? 

10

Nini kifanyike ili kupunguza ubadhilifu na rushwa katika Ununuzi wa Umma?

11

Tafadhali orodhesha miongozo unayoifahamu.

12

Tafadhali orodhesha miongozo ambayo ungependa kueleweshwa zaidi

13

Maoni yako kwa ujumla.