Toggle navigation Load unfinished survey Resume later Exit and clear survey e-UKAGUZI e-DODOSO LITE ONLINE QUIZ INGIA default Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters. Maoni Ya wadau kuhusiana na Huduma na Ripoti za Ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Maoni ya Wadau Kuhusiana na Huduma na Ripoti za Ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Dodoso la Kiswahili 1 Jina (Hiari): 2 Namba ya Simu (Hiari): (This question is mandatory) 3 Jinsia Male Female (This question is mandatory) 4 Umri Chini ya 18 18-24 25-34 35-44 45-54 55-64 65+ (This question is mandatory) 5 Kiwango cha Elimu Shule ya msingi Shule ya sekondari Stashahada Shahada Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamivu/Daktari (This question is mandatory) 6 Mkoa uliopo (Chagua kwenye orodha) Please choose... Dodoma Arusha Dar es Salaam Geita Iringa Kagera Katavi Kigoma Kilimanjaro Lindi Manyara Mara Mbeya Morogoro Mtwara Mwanza Njombe Pwani Rukwa Ruvuma Shinyanga Simiyu Singida Songwe Tabora Tanga Unguja Kaskazini Unguja Mjini Magharibi Unguja Kusini Pemba Kaskazini Pemba Kusini (This question is mandatory) 7 Hali ya Ajira Mwajiriwa (Serikalini) Mwajiriwa (Sekta Binafsi) Nimejiajiri Mwanafunzi Sina ajira Nyingine (tafadhali eleza) Please enter your comment here: (This question is mandatory) 8 Sekta unayofanyia kazi (Kama Nyingine tafadhali eleza) Serikali Sekta Binafsi NGO/Mashirika yasiyo ya KiSerikali Huru/Self-employed Nyingine (tafadhali eleza): Please enter your comment here: (This question is mandatory) 9 Je, umewahi kutumia au kusoma Ripoti za Ukaguzi zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali? Ndio Hapana Sijui/Sina uhakika (This question is mandatory) 10 Kwa maoni yako, je, Ripoti na Huduma za Ukaguzi zinapatikana kwa urahisi? Ndio Hapana Sijui/Sina uhakika (This question is mandatory) 11 Je, una maoni gani kuhusu ubora na umuhimu wa Ripoti na Huduma za Ukaguzi? Zina ubora wa hali ya juu Ni za wastani Hazina ubora Sina uhakika (This question is mandatory) 12 Je, kuna maeneo yoyote unayopendekeza yaboreshwe katika Ripoti za Ukaguzi? Kama Ndio tafadhali andika kwenye kisanduku maoni yoyote ya ziada unayoweza kuwa nayo kuhusu Huduma au Ripoti za Ukaguzi) Ndio (Toa maoni) Hapana Sijui/Sina uhakika Please enter your comment here: (This question is mandatory) 13 Ni yapi maoni yako kuhusiana na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuwashirikisha Wadau wake katika utoaji wa Huduma za Ukaguzi pamoja na usambazwaji wa Ripoti za Ukaguzi? Tafadhali chagua jibu sahihi: Kwa maoni yangu, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inahusisha Wadau wake kwa ufanisi ninaotarajia kupitia njia za mikutano na warsha ambazo pia hutumika kuelimisha Wadau kuhusiana na kazi na majukumu ya Ofisi na Ripoti za Ukaguzi. Kwa maoni yangu, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inashirikisha Wadau wake kikamilifu kupitia njia za kisasa kama vile mitandao ya kijamii pamoja na vyombo vingine vya habari. Kwa maoni yangu, jitihada za Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi za kushirikisha Wadau wake zinafaa kwa kiwango kilichopo japo nadhani bado wana fursa ya kuboresha na kuongeza kiwango cha ushirikishwaji wa Wadau ili kurahisisha upatikanaji wa Huduma na Ripoti za Ukaguzi hususani kwa umma Kwa maoni yangu, sifahamu chochote kuhusiana na ushirikishwaji wa wadau (This question is mandatory) 14 Je, una mapendekezo gani ya kuboresha njia za mawasiliano zinazotumika na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi katika kuhudumia na kuwasiliana na Wadau wake?Tafadhali chagua jibu moja sahihi: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaweza kuboresha njia zake za mawasiliano kwa kuanzisha jukwaa huru la majadiliano ili kuwapa Wadau wigo mpana wa kujadili Ripoti za Ukaguzi na kuwapa fursa ya moja kwa moja ya kutoa maoni au kuuliza maswali Kuna umuhimu wa Ripoti za Ukaguzi kupatikana kwa lugha mbalimbali ili kuwafikia Wadau wengi zaidi, hususani lugha ya wasioona na viziwi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iimarishe mawasiliano yake kwa njia ya tovuti, simu za mkononi, mitandao ya kijamii au njia nyingine za kidijitali ili kuwezesha na kurahisisha upatikanaji wa taarifa kwa Wadau kwa wakati na kwa njia rahisi (This question is mandatory) 15 Je, ni mikakati ipi inaweza kutumika na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi katika kuboresha ushirikishwaji wa Wadau wake katika kuboresha kazi za Ukaguzi?Tafadhali chagua jibu moja sahihi: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaweza kuboresha ushirikishwaji wa Wadau (Wakaguliwa, Vyombo vya Habari, Mashirika ya Kiraia, Sekta Binafsi, na Umma) kwenye kutoa Huduma na Ripoti za Ukaguzi kwa kufanya mikutano ya wazi na Wadau wake katika ngazi mbalimbali. Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ishirikishe Wadau wake katika kupendekeza mawanda ya Ukaguzi pamoja na maboresho ya Huduma zake kupitia majadiliano na majukwaa ya wazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iendeleze ushirikiano wa karibu na taasisi za Serikali na Sekta binafsi ili kuhakikisha kwamba kalenda na mawanda ya Ukaguzi yanajumuisha maoni na mahitaji ya Wadau wote muhimu. (This question is mandatory) 16 Je, ni changamoto ipi inaweza kukwamisha mchakato wa ushirikishwaji wa Wadau kwenye kutoa Huduma za Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi?Tafadhali chagua jibu moja sahihi Changamoto kubwa inaweza kuwa ni ushiriki na ushirikishwaji mdogo wa Wadau hususani wale ambao bado hawana elimu ya kutosha kuhusu kazi na majukumu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. Changamoto kubwa ni kutokuwa na mifumo madhubuti ya kuhakikisha ushirikishwaji wa Wadau unakuwa endelevu na wa kina pamoja na kuweka mkakati wa kudumu katika kuhamasisha ushiriki wa Wadau. Changamoto kubwa ni kuzingatia marajio tofauti ya kijamii, kiutamaduni, na kiuchumi ya Wadau kuna haja ya kuhakikisha kuwa mchakato wa ushirikishwaji wa Wadau unazingatia mahitaji na mitazamo ya Wadau wote. (This question is mandatory) 17 Je, una maoni au mapendekezo yoyote ya ziada ambayo ungependa kuyawasilisha ili kuboresha ushirikiano baina ya Wadau na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi?Tafadhali chagua jibu moja sahihi: Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iongeze uwazi zaidi kwenye utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Ukaguzi (audit recomendations) ulioendeshwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili jamii iweze kufuatilia kwa karibu matumizi ya fedha za umma Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi iboreshe mifumo yake ya kutoa taarifa, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha taarifa za Ukaguzi zinapatikana kwa lugha za makundi yote ndani ya jamii na kwa njia rahisi bila kupoteza maana ya taarifa ya ukaguzi ili kukidhi malengo na matarajio ya ukaguzi. Nawapongeza kwa jitihada zao za kuendelea kutoa Ripoti za Ukaguzi kwa wakati kila mwaka, kaguzi maalumu, na kwa kuendelea na jitihada za kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa uwajibikaji wa Serikali katika matumizi ya fedha za umma, na ningependa kuona juhudi hizi zikiendelezwa na kusisitizwa zaidi 18 Tafadhali andika maoni yoyote zaidi ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu huduma za Ukaguzi na Ripoti za Ukaguzi Submit Load unfinished survey Resume later Please confirm you want to clear your response? Exit and clear survey ×